Nilegeze

Lulu Diva

Matamu ulonipa jana
Yanazidi hamu mpaka zinasimama
Usinipe nusu
Me kwako mzima mzima, jiliwazee

Ndotoni unanijia
Huoni nalewa me nalia
Ikifika inanata, swadakta
Ukiniacha nitachakaa

Haya nile
Nilegeze nile, wewe sawa nile
Nilegeze nile, mwenyewe haya nile
Nilegeze nile, wewe sawa nile
Nilegeze nile, mwenyewe

Kama kamari
Wamelamba kisuturu fu kopa
Migandisho hatari
Naleta utukutu hadi kwenye sofa

Mimi nisemeje
Mteja kwako nabembea
Naweka na ukuta, weka nukta
Mpaka futa ishike uta

Ndotoni unanijia
Huoni nalewa me nalia
Ikifika inanata, swadakta
Ukiniacha nitachakaa

Haya nile
Nilegeze nile, wewe sawa nile
Nilegeze nile, mwenyewe haya nile
Nilegeze nile, wewe sawa nile
Nilegeze nile, mwenyewe

Nalegea (ooh beiby)
Nalegea (ukinishika shika)
Nalegea (dembe dembe mwenzako)
Nalegea (ooh wako utamu)


All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.