You are my candle light
Nakupa sifa sijaona
Jinsi una petty petty
Wanishika moyo wayoyoma
Kwa wengine sichezi
Penzi lako kwangu ngoma
Nitalinda penzi
Pembezoni mpaka Gola
Usiniache feli
Ukanidanganya danganya
Penzi la kitapeli
Utu ukautawanya
Mi nakupenda beiby
Kwa marefu na mapana
Wengine wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Wengine wasije wakanipora (Diva, Diva)
Wakanipora ooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Shikilia unaposhika
Na vipofu tule nao
Hello dear umenishika
Nipe tam bila wao
Umenileta mbali ya dunia
Siendi tena kwao
Nakuona mali mara mia
Sipendi nyuso zao
Cheki unalock
Ndani kufuli hugusi
Napenda catwalk
Alivozichonga nyusi
Napenda nywele ndefu
Kama toto la Urusi
Ukivaa unapendeza
Vaa gauni la harusi
Nyuma unavyorudi
Mbele unavyokwenda
Inabaki sina budi
Sijabugi kukupenda
Tena makusudi
Ikiss na lips tender
Chumbani mpaka na hoodi
Hivi ndivyo inavyokwenda
You're my Lulu Diva
Mtoto umeiva
Dhamani ya dhahabu
Sitaki tena masilver
ooh sipati shida
Sitaki tiba
Tabibu kashafika
Nimesema sitaki fever
Usiniache feli
Ukanidanganya danganya
Penzi la kitapeli
Utu ukautawanya
Mi nakupenda beiby
Kwa marefu na mapana
Wengine wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Wengine wasije wakanipora (Diva, Diva)
Wakanipora ooh
Naogopa wasije wakanipora
Wakanipora ooh
Kwa raha zako sitamani
Sitamani mwingine
Nimeshiba kwako sitamani
Sitamani mwingine
ooh my beiby sitamani
Sitamani mwingine
Unavyonipa vya ndani
Sitamani mwingine
Ahadi kukupa dosi
Ili usitamani mwingine
Nakufuta na machozi
Wabanie matozi wakale pengine
Sitamani! Sitamani mwingine
Sitamani! Sitamani mwingine
(Uh, Diva, Diva)