Its S2kizzy beiby
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Napenda ukinichombeza, dekeza
Acha nijisifie
Ooh penzi lako koleza, ongeza
Utamu nisikie (hehe)
Tunapendana me na we
Visa visa vina tu owe
Mapenzi ya ki China paranawe
Mwenzako me sina kolo
Hallo hallo, sina kwaro kwaro
Badgal me to a shadow shadow
I say hallo, hallo miss Caro Caro
Me nimwage mpunga mcharo mcharo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Kuna vichungu na vitamu
Kwenye mapenzi ya kwanza uwe na nidhamu (ooh)
Kila kilamba chumvi tamu
Twende maximum mama sio minimum (yeah boy)
Naskia uzuri wa nyumba choo (yeah, yeah)
Nitakujengea mpako bungalow (yeah, yeah)
Kama mchungwa weka kalingoo (yeah, yeah)
Targeti ni mpenzi than you never know
Unanichanganya kadada
Kutwa nakuwaza kadada
Kwa mapenzi yako kadada
Unanifanya nionekane bora kadada (ayi)
Hallo hallo, sina kwaro kwaro (bang bang)
Badgal me to a shadow shadow (ayi)
I say hallo, hallo miss Caro Caro
Me nimwage mpunga mcharo mcharo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Laizer on the mix