King'aunga'au

Lulu Diva

Nilikupa jezi uwanjani unacheza wonder
Umenipa ndizi nitafune nimemeza ganda
Mapigo huenda mbio yaani shuka panda
Nakupa vyeo beiby we kamanda

Hufanani na wanuka jasho, wafuatisha usemacho
Wanipa kile ambacho mie napenda (napenda)
Nimeridhika na ulichonacho, tukikosa sangara na sato
Twapika nguna kwa dagaa (mirenda)

Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe

Aah king'aunga'au, king'aunga'au
King'aunga'au, king'aunga'au
Aah king'aunga'au, king'aunga'au
Kikia cha pweza king'aunga'au

Meli ishatia nanga twende Zanzibar
Panapo upepo wa bahari uko shwari mwanana
Next time twajichanga pipa Madiba
Mambo ng'ari ng'ari tena twazidi fanana

Nikupe uroda wote wote (aah uroda wote wote)
Kisha tucheze lote lote (lote lote)
Aah lote lote (lote lote)

Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe
Ni wewe tu, wewe tu
Wangu mtima ni wewe

Aah king'aunga'au, king'aunga'au
King'aunga'au, king'aunga'au
Aah king'aunga'au, king'aunga'au
Kikia cha pweza king'aunga'au


All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.