Gugugaga (feat. Fid Q)

Lulu Diva

Mchizi fulani mwenye body la ajabu
Nataka anieke ndani
Karangi fulani kalaini ka mkate
Tafuna burudani

Ameniweza na waist vuruga na chest
Ameumbika sio wa masihara
Usiombe ni-rotate kwa jinsi ulivyosexy
Body langu ni biashara

Namtia uchizi
I wanna make big man go mad
Make me crazy
Umeniweza umeniteka mazima

Mchizi noma yaani amenipakata
Ameniweka kwa kiganja amenikamata
Kwa msuruu na ameshajichomeka
Na zile zungusha anazungusha kula mikaa

Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh

[Fid Q]
Umenishika umenibamba na haulii chosha
Hata kama utaniita ganga nitaitika
Nishikie pochi pata ule mwanga kwa kitochi
Am a big boss wengine shamba cha G kosh
Diva nimefurahia kukupata lazima wanikome
Kwa kwangu ni ka sheria inanifuata ili iniponye
Mipango ya kujiba hainiingii wala hainipendezi
Nishachomwa mwiiba hivo sifikirii kuwa mchembezi

Ati zako men na brand na finer, fimer
Gyal hawatawau wau wa
Kunipa murdercase najaribu my best (yeah, sijielewi)
Kunipa murdercase najaribu my best (yeah, sijielewi)

Mchizi noma yaani amenipakata
Ameniweka kwa kiganja amenikamata
Kwa msuruu na ameshajichomeka
Na zile zungusha anazungusha kula mikaa

Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh
Nabaki gugugaga, gugugaga, gumba eeh


All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.