Matembezi sokoni, nalipita lango kubwa
Duka kila kona, sakafu la vutia eeh
Taa zaning'inia kutoka paani zamulika njia yangu
Maua za kila aina aniahikilia mkono akisema, tembea nami
Twatembea, twaongea
Anionyesha uzuri wa dunia yake
Twatembea, twaongea
Sitosheki na hilo
Natamani mbinguni
Mbinguni eeh
Anamu za tabasamu nami, zanitia moyo
Muumba wao, mwenye dhambi kama mimi
Amekwisha toweka, miaka zilizopita aah
Duka baada ya duka eeh, nahisi utupu tele
Kila kitu kizuri lakini hakinivutii
Anishikilia mkono akisema, tembea nami
Twatembea, twaongea
Anionyesha uzuri wa dunia yake
Twatembea, twaongea
Sitosheki na hilo
Natamani mbinguni
So we walk, and we talk
And he shows me the beauty of his world
So we walk some more and we talk some more
Now I know this is not enough
So we walk, and we talk
And he shows me the beauty of his world
So we walk some more and we talk some more
Sitosheki na hiyo
Twatembea, twaongea
Anionyesha uzuri wa dunia yake
Twatembea, twaongea
Sitosheki na hilo
Natamani mbinguni