Kama We

Atemi Oyungu

Wanasema pole pole ndio mwendo
Eti haraka haina baraka
Kweli tisa karibu na kumi
Methali zote haizinisaidi mi
'Naonekana wakati huu
Umeniwacha kwa kweli boo
Wanipenda najua tu
Na imani hatuna kwetu
Lakini kwa sasa, mi nakuwaza
Nifanye nini urudi kwangu?

If I told you I loved you, would you love me bae?
And if I told you I missed you, would you call me?
Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we
Hakuna mwingine kama we
Hakuna mwingine kama we

Wou wou (hakuna, hakuna)
Wou wou (hakuna, hakuna)

Kwenye vita kuna mshindi
Kwa mapenzi ni nani mshindwa?
Kikulacho ki nguoni mwako
Lakini kwetu ni nani adui
Nakupenda wajua tu
Usamehe makosa yangu
'Kifanya hivo mpenzi boo
Amani itarudi kwetu
Nami niko hapa nitakungoja
Rudi nyumbani lazizi wangu

If I told you I loved you, would you love me bae?
And if I told you I missed you, would you call me?
Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we
Hakuna mwingine kama we
Hakuna mwingine kama we

Khaligraph Jones
You're the one I ask for, hakuna mwingine nataka
I prayed for a blessing, then niwe nikapata
So now I promise to be, all that you wanted of me
Girl you're my queen and it's only right I give you all that you need
How you hold me si siri, I am always drifting away
Umenipea upendo kamili, you're like my Bee and I am your J
So better for worse I am dedicating this for us
Just for you and to tell you that we pekee ndo natrust
Na najua wengi watasema kwamba sifai
Usiskize maneno coz hizo zote ni lies
Girl I am yours and you are mine till the end of time
We were meant to be so together so forever we rise

Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa
Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa
Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa
Kweli mimi nakupenda, hakuna mwingine ataniokoa

If I told you I loved you, would you love me bae?
(If you did, I'd definitely do that for you, mami)
And if I told you I missed you, would you call me?
(If you did, I'd definitely do that for you, baby)
Ukini (ooh), ukini (aah), ukinipenda we
Hakuna mwingine kama we
Hakuna mwingine

Wou wou (hakuna, hakuna)
Wou wou (hakuna, hakuna)

All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.