Boychild (feat. Magix Enga)

Alvindo

Ka ni kuimba buda boss we imba
Na kama huezi imba wacha me niimbe
Ka ni kuimba buda boss we imba
Na kama huezi imba wacha me niimbe

Boy child, boy child aki unaumia
Boy child, boy child aki unalia
Zile vitu we hupitia
Ni mingi lakini don't stress we tulia

Ju unajua mwanaume ni kuvumilia
Kupambana na hali yake si kulia
Mangori, mangori kushoto na kulia
Don't worry don't worry, brathe hapana achilia

Ju najua mwanaume ni kung'ang'Ana
Hata huyo manzi mrembo muombe namba
Haijalishi vile sura yako inakaanga
Mwanaume katia dem mwenye unatakanga yeah

They want a million dollar (yes)
They want a million dollar, eh
But me ni hustler

They want a million dollar
They want a million dollar, eh
But me ni hustler

They want a million dollar
They want a million dollar, eh
But me ni hustler

They want a million dollar, eh
Boychild ooh, yeah
They want a million dollar

Boychild, yeah, yeah yeah
Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho
Eeeh akaniumiza rohoo

Boychild, yeah, yeah yeah
Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho
Eeeh akaniumiza rohoo

Ah boychild (kataa)
Boychild (kataa)
Ma boychild (kataa)
Boychild (kataa)

Ah boychild (kataa)
Boychild (kataa)
Ma boychild (kataa)
Boychild (kataa)

Boychild cha muhimu ni uhai bro
Kusumbuana na maslayqueen haifai jo
Kujitisha uko na ukedi na hujapimwa bro
Kujichocha we ni sponsor na hata hauna doh

Boychild cha muhimu ni kung'ang'Ana
Ju nataka kuishi maisha fiti sana
But life yako tu imejaa malaana
Kila kitu unafanyanga ina maswara

Njoki, Njeri, Sherry kesho uko na Sara
Naskia hadi umekunja mama Sara
Unajenga doh lakini unaenda hasara
Ukidunga kiatu kali ni ma Sahara

They want a million dollar (yes)
They want a million dollar, eh
But me ni hustler

They want a million dollar
They want a million dollar, eh
But me ni hustler

They want a million dollar, eh
Boychild ooh, yeah
They want a million dollar

Boychild, yeah, yeah yeah
Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho
Eeeh akaniumiza rohoo
Boychild, yeah, yeah yeah
Hakuna yule dem anaweza akatuumiza roho
Eeeh akaniumiza rohoo

Ah boychild (kataa)
Boychild (kataa)
Ma boychild (kataa)
Boychild (kataa)

Ah boychild (kataa)
Boychild (kataa)
Ma boychild (kataa)
Boychild (kataa)

Ka ni kuimba buda boss we imba
Na kama huezi imba wacha me niimbe
Ka ni kuimba buda boss we imba
Na kama huezi imba wacha me niimbe

They want a million dollar (yes)
They want a million dollar, eh
But me ni hustler


All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.